Hey There
Senior Member
- Nov 12, 2023
- 120
- 372
Hey There
"No Pain No Gain" kama wanavyosema wana mazoezi kuongeza motisha.
Watu wengi wamekuwa hawana uwelewa kuhusu mazoezi ya gym na aina ya wafanya mazoezi hao, wengi kibongobongo tunaita baunsa, mbavu, kidari ila hawa watu wako aina tofauti kutegemeana na goal ya mtu lakini Core ni kujenga body strength.
Kuna aina tatu za wafanya wanyanyua chuma (wana mazoezi ya gym).
1)Bodybuilder
Huyu mwanamazoezi ya kunyayua vyuma (resistance workots) kwa lengo la kujenga misuli mikubwa, kujenga nguvu ya mwili (strength) na muonekano wa misuli (Muscles definition).
Kimuonekano utamjua kwa kuwa na mwili wenye misuli mikubwa inayoonekana vizuri kutokana na kuwa na kihasi kidogo cha mafuta mwili (Body fat), low body fat inamfanya mishipa ya damu pia kuonekana vizuri zaidi.
Bodybuilder anakuwa na nguvu ya mwili kuliko mtu wa kawaida (Raw Power), huyu ni mtu hatari linapokuja suala la kukunjana hamna tofauti na kukamatwa na chatu
2) Cross-Fitter
Huyu ni mwana mazoezi anayefanya mazoezi mchanganyo yenye combination tatu kujenga muscles strength (Resistance/Weights), Kujenga speed ya mwili, punzi na stamina (Cardio).
Huyu hanyayua chuma kidogo sana na apandi uzito anabaki kwenye uzito mmoja mdogo (Light weight) ili kujenga misuli yenye nguvu lakini sio mikubwa sana lengo aside mzito. Tofauti na Bodybuilder yeye huanza na uzito mdogo na hupanda juu siku baada ya siku na kila akipanda na misuli inazidi kukua.
Pia, anafanya mazoezi ya Cardio hili kujenga speed ya mwili, kuwa flexible na stamina.
Cross-Fitter ni mtu anakuwa na nguvu, anauwezo wa kufanya kitendo cha speed na kunyulika kwa haraka, huyu ni mtu hatari.
Wanamichezo tofauti wa football, Boxing, Running nk ni Cross-Fitter, Cristian Ronaldo, Mwakinyo nk nk Cross-Fitter
Kufanya mazozi slow ina train misuli slow (Slow twitch muscles fibers) hii ndio maana Bodybuilder wanakuwa slow ila Cross-fitter anachanganya mazoezi ya slow na fast ambayo yana enhance Fast twitch muscles fibers....Hii ni aina mbili ya Functional Mucles Fibers
3) Strong Man
Huyu sio common sana kibongobongo pia ni watu wanaolenga michezo zaidi ya kubeba vitu vizito Duniani. Strong man ni wana miili mikubwa kwa kuzaliwa gym wanaongeza mazoezi ya kunyanyua vyuma tu.
Strong man anafanya zaidi mazoezi ya kunyakua uzito mkubwa zaidi tofauti na Bodybuilder ambapo yeye hubeba uzito mdogo na kufanya round nyingi kwa kurudia (Reps).
Kunyanyua uzito mdogo kwa kurudia sana inajenga misuli mikubwa zaidi na yenye kuonekana huku mafuta yakichomwa ila kubeba uzito mkubwa kwa kurudia mara chache inajenga nguvu ya misuli zaidi bila misuli kujijenga viuri kimuonekano....FUCTIONA MUSCLES ACTION.
Strong man ni wanakuwa na nguvu zaidi kuliko Bodybuilder kwasababu wana misuli mikubwa iliyojificha ndani ya layer ya mafuta, ambapo kuwa na mafuta mengi mwilini kunafanya mafuta hayo kutumika kuzalisha energy nyingi kwenye misuli kuzidi Bodybuilder ambao wana misuli zaidi na hawana mafuta ya kutosha as a source of energy to their muscles.