Gym (whey protein supplement)

.Kwani kuwa na nguvu ndo unakuwa mlizi au mbeba zege?? We wawapi bhana!!!! , kuwa na mwili jumba bila kuwa na stamina uwo ni umama
Nguvu za kufanyia nini? Sijawahi ona mtu hana stamina labda awe na ulemavu au mgonjwa.
Mtu akishakuwa na nguvu za kuhamisha vitu, kubeba at least kilo 35 basi inatosha. Wabeba magunia ya kilo 100 sokoni hawajawahi nizidi chochote kimaisha. Mtu ni HR, muuguzi, karani au mwalimu nguvu gani za ziada unataka awe nazo.
 
.Kwani kuwa na nguvu ndo unakuwa mlizi au mbeba zege?? We wawapi bhana!!!! , kuwa na mwili jumba bila kuwa na stamina uwo ni umama
Wewe kolo nini inawezekanaje mtu akawa na mwili mkubwa na asiwe na nguvu ikiwa nguvu inatokana na ujazo wa nyama au msuri.

Unaandika Kama umejaza kamasi kichwani.
 
Asichokijua huyo mbeba magunia sokoni abebe magunia miaka kumi ila mtu aliyeingia gym na kula supplement miezi miwili Milo ukawatanuka wakiwekeana msuri Huyo mbeba magunia anagaragazwa mingozi nyeusi zero kabisa Kwenye mambo madogo ya kibaolojia hata awajui Power ya Mwili inazalishwa kwa mechanism gani.
 
Kabisa mkuu..watu wengi sana kwanza ckuiz wanatumia maana wameshajua faida zake..sio unaingia gym unajiteeesa hahah..
Zinamadhara... Hakuna shortcut katika maisha....Hizo whey protein kwanza ziankuwa loaded with sugar... Kitu ambacho unapotumia unafanya secretion nyingi ya isulin... insulkin ikiwa secreted kwa wingi kwenye blood seli za mwili zinakuwa na tabia mojawapo ya ku-resit insulini(Insulin Resistance0.... Matokeo yake the loaded amino acid ambazo zimekuwa converted kutoka kweny e hiyo protein zinabadilishwa back into Fats na kuwa stored.

Na pia hapo badae jiandae na matatizo ya kidney.......Kumbuka hizo ni artificial man made supplement and are not Organic.. Watch out... Haichukuimiezi miwili kuliona tatizo ...itakuchukua even 20 good years kabla hujanza kulia na kusaga meno...


GO ORGANIC
 
 
Aisee mm nimeipata na mandeleo sio mabaya ka
Habari zenu wandugu, niko mwanza nimejaribu kutafuta hii suppliment sijaipata labda Kuna mtu anaifahamu ilipo anisaidie Ni bei gani na kwa ujazo upi. Nina prefer kampuni ya Optimum Nutrition.

Any help will be highly appreciated
 
Sawa zinamadhara wew unatumia chakula gan vyakula unavyokula ww ni salama?
 
Nadhani huelewi hata process ya whey unafananisha na mass gainer mass gainer inasukar nyingi ila whey ni pure protein embu kasome vizur process ya kupata whey na aina zote 3 za whey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…