Gypsum bora kwa sasa

Gypsum bora kwa sasa

msakhara

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2019
Posts
277
Reaction score
381
Habari wakuu,
Kumekua na aina/brand nyingi sana za gypsum boards siku za karibuni.

Katika ufuatiliaji wangu, nimekutana na brand zifuatazo:

Made in India(bei kubwa Tsh 22000-27000)
-Gyproc
-Oriana

Made in Thailand [Tsh 24000-27000]
-Standard gypsum

made in Tz (bei nafuu Tsh 12000-16000)
Double elephant
Knauf
Andika
BBG

-Kwa uzoefu wenu, utofauti wa board hizi huwa ni nini?
-Board zipi ni bora?
-Ubora unapimwaje ili kuepuka uchakachaji wa wafanyabiashara wasio waaminifu?
Tuelimishane.
 
Back
Top Bottom