Gypsum yako inatoka mkoa gani? Unazaliza kiasi gani? Kwa sasa wachimba gypsum wameungana wanauza kwenye makampuni yanayo zalisha cement. Nitafute kwa no 0766111212 kwa maongezi zaidi.Jamani nina sehemu ya kuchimba minerals za gypsum sasa nahitaji kujua soko lake ntalipata wapi na huwa wananunua kwa tani au? Naombeni ufahamu kwa hayo, maana nina eneo kuubwa sana lina hizo product
Mkuu mimi nina vitalu vitatu vya kuchimba gypsum ninaviuza,vina jumla ya hectare 23.81,Gypsum yako inatoka mkoa gani? Unazaliza kiasi gani? Kwa sasa wachimba gypsum wameungana wanauza kwenye makampuni yanayo zalisha cement. Nitafute kwa no 0766111212 kwa maongezi zaidi.