heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Kwa muda mrefu watu wengi
wamekuwa wakiamini msanii
aliyepiga show nyingi zaidi mwaka
jana ni Diamond.
Kwa mujibu wa H.Baba, yeye ndiye
msanii wa Bongo Flava aliyepiga
show nyingi zaidi mwaka jana.
Ameiambia 255 ya Clouds FM kuwa
mwaka 2012 amepiga jumla ya
show 625!
Msanii huyo ambaye mwaka jana
aliingia kwenye mgogoro wa wimbo
Nataka Kulewa na Diamond
amesema show hizo ni pamoja na
zile za promotion Za makampuni
mbalimbali na zake binafsi.
Anasema miongoni mwa show hizo
ni zile alizokuwa akilipwa zaidi ya
shilingi milioni 2.
Hata hivyo watu wengi wameonesha
kuwa na wasiwasi na idadi hiyo ya
show hasa baada ya kudai kuwa
show hizo amekuwa akizifanya siku
za weekend. Haya ni maoni ya
baadhi yao kama walivyoandika
kwenye ukurasa wa Facebook wa Dj
Fetty.
Elizabeth Benedict
hahhaha,,nmemckia anaongea tena
anahema kama katoka zoez la
ngumi,duuuuh kama uongo
unaenda kwa elimu bas H-BABA
yey n PhD holder,,kwa navoifaham
calculator ijumaa,jmos na jpil kwa
mwez zpo 12 sasa kwa miez 12
ztakua 144 hapo nshamuongezea na
za mwez wa pil japo znakuaga 9 ila
nmemfanyia 12 yan kwa kumsaidia
tuuu na kumkamata vzuri,,ama
anafanyaga kwa ijumaa show
4,jmos show5 na jpil show 5 hapo
sawa ila hv hv HAPANA au may b
amejumlisha na zle ambazo
anafanyaga akiwa na FURURAhh
hahahah,,,its shav.
Eras Rweyemamu
Me mziki wa bongo siujui fresh ila
h baba ye huwa anafanya show
mikoani na kongo huko hapa dar
huwa hana soko inawezekana tu
hata afanye chumbani kwa mtu ni
show ye anahesabu nyie si mlitaka
diamond aseme ivo ili mrembeshe
story? Dj fetty bana
Michael Minja
Kwa mahesabu hayo sio kweli
maana kama anafanya shoo kwa
week mara tatu yani ijumaa juma
mosi na juma pili basi kwa mwezi
anatakiwa afanye show 18 ambapo
ukizidisha kwa miezi 12 unapata
show 216 tena hapo awe hajamiss
show hata moja hivyo kwa
mahesabu alioyatoa yeye ya show
625 nina hakika atakuwa amekosea.
source:bongo5.com
wamekuwa wakiamini msanii
aliyepiga show nyingi zaidi mwaka
jana ni Diamond.
Kwa mujibu wa H.Baba, yeye ndiye
msanii wa Bongo Flava aliyepiga
show nyingi zaidi mwaka jana.
Ameiambia 255 ya Clouds FM kuwa
mwaka 2012 amepiga jumla ya
show 625!
Msanii huyo ambaye mwaka jana
aliingia kwenye mgogoro wa wimbo
Nataka Kulewa na Diamond
amesema show hizo ni pamoja na
zile za promotion Za makampuni
mbalimbali na zake binafsi.
Anasema miongoni mwa show hizo
ni zile alizokuwa akilipwa zaidi ya
shilingi milioni 2.
Hata hivyo watu wengi wameonesha
kuwa na wasiwasi na idadi hiyo ya
show hasa baada ya kudai kuwa
show hizo amekuwa akizifanya siku
za weekend. Haya ni maoni ya
baadhi yao kama walivyoandika
kwenye ukurasa wa Facebook wa Dj
Fetty.
Elizabeth Benedict
hahhaha,,nmemckia anaongea tena
anahema kama katoka zoez la
ngumi,duuuuh kama uongo
unaenda kwa elimu bas H-BABA
yey n PhD holder,,kwa navoifaham
calculator ijumaa,jmos na jpil kwa
mwez zpo 12 sasa kwa miez 12
ztakua 144 hapo nshamuongezea na
za mwez wa pil japo znakuaga 9 ila
nmemfanyia 12 yan kwa kumsaidia
tuuu na kumkamata vzuri,,ama
anafanyaga kwa ijumaa show
4,jmos show5 na jpil show 5 hapo
sawa ila hv hv HAPANA au may b
amejumlisha na zle ambazo
anafanyaga akiwa na FURURAhh
hahahah,,,its shav.
Eras Rweyemamu
Me mziki wa bongo siujui fresh ila
h baba ye huwa anafanya show
mikoani na kongo huko hapa dar
huwa hana soko inawezekana tu
hata afanye chumbani kwa mtu ni
show ye anahesabu nyie si mlitaka
diamond aseme ivo ili mrembeshe
story? Dj fetty bana
Michael Minja
Kwa mahesabu hayo sio kweli
maana kama anafanya shoo kwa
week mara tatu yani ijumaa juma
mosi na juma pili basi kwa mwezi
anatakiwa afanye show 18 ambapo
ukizidisha kwa miezi 12 unapata
show 216 tena hapo awe hajamiss
show hata moja hivyo kwa
mahesabu alioyatoa yeye ya show
625 nina hakika atakuwa amekosea.
source:bongo5.com