H-BABA huyo,me simo

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Kwa muda mrefu watu wengi
wamekuwa wakiamini msanii
aliyepiga show nyingi zaidi mwaka
jana ni Diamond.
Kwa mujibu wa H.Baba, yeye ndiye
msanii wa Bongo Flava aliyepiga
show nyingi zaidi mwaka jana.
Ameiambia 255 ya Clouds FM kuwa
mwaka 2012 amepiga jumla ya
show 625!
Msanii huyo ambaye mwaka jana
aliingia kwenye mgogoro wa wimbo
“Nataka Kulewa” na Diamond
amesema show hizo ni pamoja na
zile za promotion Za makampuni
mbalimbali na zake binafsi.
Anasema miongoni mwa show hizo
ni zile alizokuwa akilipwa zaidi ya
shilingi milioni 2.
Hata hivyo watu wengi wameonesha
kuwa na wasiwasi na idadi hiyo ya
show hasa baada ya kudai kuwa
show hizo amekuwa akizifanya siku
za weekend. Haya ni maoni ya
baadhi yao kama walivyoandika
kwenye ukurasa wa Facebook wa Dj
Fetty.
Elizabeth Benedict
hahhaha,,nmemckia anaongea tena
anahema kama katoka zoez la
ngumi,duuuuh kama uongo
unaenda kwa elimu bas H-BABA
yey n PhD holder,,kwa navoifaham
calculator ijumaa,jmos na jpil kwa
mwez zpo 12 sasa kwa miez 12
ztakua 144 hapo nshamuongezea na
za mwez wa pil japo znakuaga 9 ila
nmemfanyia 12 yan kwa kumsaidia
tuuu na kumkamata vzuri,,ama
anafanyaga kwa ijumaa show
4,jmos show5 na jpil show 5 hapo
sawa ila hv hv HAPANA au may b
amejumlisha na zle ambazo
anafanyaga akiwa na FURURAhh…
hahahah,,,its shav.
Eras Rweyemamu
Me mziki wa bongo siujui fresh ila
h baba ye huwa anafanya show
mikoani na kongo huko hapa dar
huwa hana soko inawezekana tu
hata afanye chumbani kwa mtu ni
show ye anahesabu nyie si mlitaka
diamond aseme ivo ili mrembeshe
story? Dj fetty b’ana
Michael Minja
Kwa mahesabu hayo sio kweli
maana kama anafanya shoo kwa
week mara tatu yani ijumaa juma
mosi na juma pili basi kwa mwezi
anatakiwa afanye show 18 ambapo
ukizidisha kwa miezi 12 unapata
show 216 tena hapo awe hajamiss
show hata moja hivyo kwa
mahesabu alioyatoa yeye ya show
625 nina hakika atakuwa amekosea.
source:bongo5.com
 
Unajua ulipokuwa unapenda sana kuleta uzi wa diamond kila kukicha nilikuwa sijakuelewa, kumbe unampenda diamond coz anamambo ya kishoga kama ya kuacha ------ mbele za watu, na wewe mwenyewe pia unapenda kuckiliza media za kishoga kama clous, na ninawasiwas na wew pia

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
mwaka una siku 365..... Kwa lugha nyingine huyo kila siku jumatatu hadi jumatatu anapiga show angalau mbili?
 
Akafiee mbali uko ok show kafanya so pesa yake ipo wapi awe sonko tajiri bac kama almasi kuchuja kubaya jamani kah.
 
So what??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Ukiwa una copy-paste jaribu ku-edit weka na paragraph.. ni hayo tu diamond
 
me ctii neno,nawatolea kule,nawaletea hapa;

Dj Fetty
H baba: mimi ndio msanii niliefanya
show nyingi kwa mwaka 2012,
hakuna hata msanii mmoja
akiefanya show nyingi kama mimi,
hakuna... nimefanya show 625 na
nilikua nafanya siku ya ijumaa
jumamosi na juma pili..SWALI ni
haya mahesabu
yanawezekana???????????
11 hours
ago · · Like · Share · Report
Joshua Sospeter Musuluja and
402 others like this.

View previous comments

Loveness James
mh!!! hii kali...labda ungemuuliza
mwaka una siku ngapi? labda hizo
show afanye kila siku tena ucku na
mchana...jamani mweeh!!!
Like · 2 hours ago
Arafat Ngumi Sponji
Hta mm nmepga show kbao hku
mtaan cjtangaz2 nkjtangaza najua
mtakataa!
Like · 2 hours ago

Krish Khan
Kama sikosei nick wa 2 alisema
msanii mziki ukikushindwa
tengeneza skendo utauza xo labda
jombii anafata nyayo
Like · 1 · 2 hours ago

Anastazia Muro
Inawezekana cz juzi nlimuona
ananengua kwenye harusi wakati wa
kipindi cha chereko.... Sasa kama
kila wiki alikuwa anapata show
harusin J2 and J'mos its posible
ukijumlisha na show nyingine za kati
ya wiki....
Like · 1 · 2 hours ago

Simon Makini
ha ha ha! Mbona hii sentensi
haivutii, lakn kiwango cha ufikiri cha
msanii huyu kipo sawa kbsa
naalichosema.
Like · 2 hours ago

Suedy Bau
Muongo
Like · 2 hours ago

Muuh Sadick
show ya mwisho arifny kweny arusi
ya dad yang
Like · 2 hours ago

Winy Erasto
Duuuuuh! Hilo Nalo Neno.jamaa
Kaishiwa 2ngo Nniii?
Like · 2 hours ago

Richard Ndile
show zp au za x
Like · 2 hours ago

View next comments
Write a comment...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…