3 November 2023
Abuja, Nigeria
Balozi Dr. Benson Bana aagwa na kundi la mabalozi wa nchi za EAC, Abuja Nigeria
Balozi wa Tanzania nchini Nigeria mheshimiwa Dr. Benson Bana aagwa rasmi baada ya kumaliza kipindi chake katika ubalozi wa Tanzania mjini Abuja na kuagwa na mabalozi wenziwe wanaowakilisha nchi zao Nigeria. Dr. Benson Bana anarejea nchini kwao baada ya kumaliza kipindi chake cha uwakilishi nchini Nigeria. Pia balozi Dr. Benson Bana alikuwa anaiwakilisha Tanzania kutokea Abuja kama makao yake ya kituo , katika nchi kadhaa za Afrika Magharibi na Sahel za Benin, Burkina Faso, Cote D'Ivoire, Ghana, Guinea, Guinea-Bissau, Mali, Mauritania, Niger, Nigeria, Senegal, Sierra Leone, Liberia, The Gambia na Togo
.
Ambassadors’ Group in Abuja, bid farewell to His Excellency Ambassador Dr. Benson Alfred Bana
On November 1st. 2023, the East African Community Ambassadors’ Group in Abuja, teamed up to bid farewell to their outgoing colleague, H. E. Amb. Dr. Benson Alfred Bana, who is returning to Tanzania after a successful tour of duty in Nigeria.
Photo: H.E Ambassador Dr. Benson Alfred Bana .