nanjanga JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 330 Reaction score 111 Oct 25, 2016 #1 salaam wadau, baada ya hofu na kukwepa kwepa kupima mdudu kwa zaidi ya miaka 18 hatimae jana nimepima na nimejijua nipo kundi gani, sasa hivi naishi huku nikijijua, ila jamani kupima huyu mdudu wa karne yataka moyo sana[emoji14] [emoji14]
salaam wadau, baada ya hofu na kukwepa kwepa kupima mdudu kwa zaidi ya miaka 18 hatimae jana nimepima na nimejijua nipo kundi gani, sasa hivi naishi huku nikijijua, ila jamani kupima huyu mdudu wa karne yataka moyo sana[emoji14] [emoji14]
Ngozi Joram JF-Expert Member Joined Sep 9, 2016 Posts 662 Reaction score 545 Oct 25, 2016 #2 Woga wako tu hakuna lolote baya
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Oct 25, 2016 #3 Yataka moyo kwa wale wakubadili kama daladala
Kashi JF-Expert Member Joined Jan 6, 2013 Posts 897 Reaction score 745 Oct 28, 2016 #4 Mtakipata tu mnachokitafuta.