(H.O.D nimerudi)Leo Diamond na team ya Wasafi atakuwa jijini Nairobi,kisha Zanzibar

(H.O.D nimerudi)Leo Diamond na team ya Wasafi atakuwa jijini Nairobi,kisha Zanzibar

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
Naandika hii thread ikiwa ni,
saa kumi usiku ambapo ifikapo sa 1 asubuhi
baadhi ya team ya WCB-WASAFI,tutaenda nchini kenya...
ni CEO mwenyewe,Diamond,mlinzi wake binafsi
Dj,Dancers wote na,
mimi mwenyewe..
na jumamosi tutakuwa kwenye show Zanzibar..
Ahsanteni
NB:Kazi ni nyingi,niko bize eer day
ndiyo maana siingii ingii
hovyo humu.
na nikukumbushe tu kuwa,habari Negative
kumhusu Diamondutakayoisoma humu
na mimi nisizungumze kitu
faham kuwa ni zile story za udaku
watu wanazozisoma kwenye viblog
na kukimbilia kuleta humu pasipo kuchuja or kutafiti ..
nasema hivyo coz naona vistory vingi tu
vya kizushi
ambavyo havina kichwa wala miguu
NA NINASHANGAA WATU HUTUNGIA WAPI..
na nashangaa jinsi watu walivyo wavivu hata kutafiti
wanakubari tu kila kitu..
Ahsanteni,SUBUHI NJEMA
.
 
Wewe ndo msemaji wake au mrithi wa penny? NB. Mpitie mombasa ili ujifunze namna ya kutunza b.w.a.n.a, nyambafu et "habar za kutoa kwenye VIBLOG"
Heshimu kazi za watu ili yako iheshimiwe sema BLOG na si VIBLOG ndukurangaKeNGe wewe, kama ni lawama ulipaswa kumwambia alaumu yeye na si wewe what the hell are you? Ok any way next time pass here www.globalpubrishers.com kutoa malalamiko yako
 
Good news presented in a bad way.

wewe ni mmoja kati ya watu wanaofanya diamond achukiwe bila sababu.

Nakushauri angalau upate certificate ya journalism ili uweze kuwa mwandishi mzuri.

sijaelewa hasa huyu diamond alikuajirije!

afu usikute hata salary unayopewa nayo haidhirishi!
 
heaven on desert kuna namna ya kukanusha habari lakini siyo kwa style yako..Usidharau watu..

Huyo Boss wako anajitahidi wewe unamuharibia..

Na mimi natoa habari kanusha nitaweka ushahidi..

Diamond Amedanganya wabongo show ya hapa Malaysia ilikuwa ya nguvu..Wakati siyo kweli..

Amepewa muda baada ya Club kumaliza Disco na shughuli nyingine...

Kapanda stage..kumi na mbili asubuhi mpaka saa moja..Na show ilikuwa mbovu.."BISHA NA HII"
 
Last edited by a moderator:
Kwani kaajiriwa na domo? Kwa position gani? Manake kama yuko too busy to publish news kuhusu yeye!

Good news presented in a bad way.

wewe ni mmoja kati ya watu wanaofanya diamond achukiwe bila sababu.

Nakushauri angalau upate certificate ya journalism ili uweze kuwa mwandishi mzuri.

sijaelewa hasa huyu diamond alikuajirije!

afu usikute hata salary unayopewa nayo haidhirishi!
 
Good news presented in a bad way.

wewe ni mmoja kati ya watu wanaofanya diamond achukiwe bila sababu.

Nakushauri angalau upate certificate ya journalism ili uweze kuwa mwandishi mzuri.

sijaelewa hasa huyu diamond alikuajirije!

afu usikute hata salary unayopewa nayo haidhirishi!

Hana ubavu wa kukaa darasani mwaka mzima kuchukua certificate ya Journalism..huyu anatakiwa apate ile basic certificate ya miezi 3..ajifunze at least "dibaji" ya uandishi..maana kimeo kweli kweli..
 
Kwani kaajiriwa na domo? Kwa position gani? Manake kama yuko too busy to publish news kuhusu yeye!

Usiniambie kwamba ulikua hujui aisee... Jamaa yupo kitengo cha matangazo mitandaoni kama JF, FB, Inst, Web, etc
 
Hana ubavu wa kukaa darasani mwaka mzima kuchukua certificate ya Journalism..huyu anatakiwa apate ile basic certificate ya miezi 3..ajifunze at least "dibaji" ya uandishi..maana kimeo kweli kweli..

na maisha yanasonga na ukimeo wetu
 
Kwa hiyo hata we tusikuamin??
Mbona ya Wemaa hukuja kukanushaa??we nae eti uko busy umelazimishwaaa kutupa habari
 
huyu jamaa dunia yake ina revolve around dayamondi na wasafi hongera publicist
japokuwa sijui kukera watu ni sehem ya mkakati wako wa kuhakikisha dayamondi hatoki mawazoni mwa watu au uwezo wa kiuandishi ndio umeishia hapo.
 
we heaven on desert itabidi upigwe ban unavyosema huingii ovyo ovyo humu ni kwamba j.forums ni sehem ya kuingia ovyo kama choo au
 
IMG_0154.JPG

heaven on desert kwenye picha,akiwezeshwa kupanda ndege na bosi wake diaomond(ila hili pozi lako mh!!),sema haka kajamaa romy jones kanajua sana kutumia fursa baada ya kuona kanauza sura sana na diamond ameamua awe dj wake kabisa wakati sikumbuki kama ana profesional iiyo what i knw ni muuza sura tu
IMG_0422.JPG

IMG_0165.JPG

IMG_0108.JPG
 
Kuna video nimeicheki ya diamond & roby jones wametoka mbali sana wako wadogo kishenzi
 
Back
Top Bottom