H.O.D. nimerudi

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393



Habari zenu wakuuni kwa mda mlefu sasa nimekua kimya sionekani kabisa humu,japo kuna wanaodai sijui nimetemwa and all tht,main reason ni ubize ,kazi zinakuwa nyingi coz diamond anakuwa kila siku so majukumu nayo yanaongezeka.

wanaonifollow insta wanaelewa nachomaanisha,kuwa sijatemwa kazi yangu ipo pale pale japo majukumu ndiyo yameongezeka napiga kazi kama kawaida, na pia niweke wazi kua kwa kipindi nilichokuwa kimya hakuna post yoyote
niliyowahi iweka kwa kutumia ID tofauti, hao ni watu wanaopost kwa matakwa yao binafsi na sehemu pekee zinapopatikana taarifa rasmi za diamond ni kwenye page yake ya instagram, page yake ya facebook na official instagram page ya WASAFI @WCB_WASAFI pamoja na yangu Kifesi.

Ni hayo tu na ahsanteni.
 

Attachments

  • Diamond photographer 2.jpg
    210.5 KB · Views: 825
Jf wengine tumejiunga jana tu, unaposema umerudi hata hatukuelewi, kwamba wewe ni nani? na ulikuwa umeenda wapi? na lengo lako la kutuambia amerudi nini? na sisi tufanyaje? .

hahaaaaaaaaaaaa we mtu umenifanya nicheke na maswali yako

nikijumlisha na mijadala yako ya hoja mchanganyiko
 
wengne ndio tumejiunga Leo hats sjui we we ndio nani name una wadhifa gan
 
If not mistaken, ujumbe wake ni kutugawia news kuwa: yeye bado ni photographer wa msanii aliyemtaja (yaani kibarua hakijaota nyasi) na pili, mumfuate ktk insta kupitia declared name.
 
Reactions: amu
Mbona leo umebadilisha jukwaa?tumezoea kukuona celebrities forum...imekuwaje?
Hata hivyo jamaa una sura ngumu wewe hatari...hiyo picha yako ya kwanza imenitisha....
 
If not mistaken, ujumbe wake ni kutugawia news kuwa: yeye bado ni photographer wa msanii aliyemtaja (yaani kibarua hakijaota nyasi) na pili, mumfuate ktk insta kupitia declared name.

Pamoja na kwamba hatujui kingereza lakn hapa tutajitahidi kumuelewesha huyu zobi

foolish age! sijui nimepatia hehehehe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…