Amigoh
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 2,045
- 2,975
Kiukweli tusiseme uongo hakuna asiye jua kazi nzuri ya huyu kijana wetu hapa Bongo.. Dogo Aslay pamoja na kuwa na kipaji cha sauti.. Yani sauti natural haimbii puani anautunzi flani hivi mzuri sana uandishi wake umeweza kuwaburudisha wengi ikiwemo ndugu zetu wakenya.
Binafsi naona [HASHTAG]#ITAPENDEZA[/HASHTAG] ZAIDI
Binafsi naona [HASHTAG]#ITAPENDEZA[/HASHTAG] ZAIDI