ha ha ha !! dondosha mkono sweta bana.

LOOOK

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
3,389
Reaction score
674
tunawashukuru sana wadau wanao tembelea huku kusin na slogan yao ya dondosha mkono sweta jamani kwa wale ambao wapo na hawaja dondosha mkono sweta tafadhari waungeni mkono hawa jamaa
 
nackia huwa unaongeza ladhwa
 
uongo jamani nani anapenda mkono wa sweta? Magonjwa ni hatari zaidi ya unavyofikiria. Sidhani kama kuna mtu anapenda mkono wa sweta
 
Hahahaaaa... Nimeona matangazo hayo Mafinga na Makambako... dooh kwani Wahehe hawatahiriwi?
 
hii ni culture na dini...ila ni muhimu wazeeeee
 
tunawashukuru sana wadau wanao tembelea huku kusin na slogan yao ya dondosha mkono sweta jamani kwa wale ambao wapo na hawaja dondosha mkono sweta tafadhari waungeni mkono hawa jamaa
Sijaelewa chochote,ni nini hasa maana ya kudondosha mkono wa sweta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…