Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Mkuu bado vipo?Kweli maisha yamekuwa magumu,eti mpaka asa ivi vitafunwa havijaisha
chapati ,vitumbua,mihogo mpaka sasa ipo tu inasubiri walaji
Asa sijui watu hawanywi chai au?
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Mkuu zamani vilinunuliwa na wapiga dili,acha vipenzi wa sizonje waamke wale
Sent using Jamii Forums mobile app