Ha ha ha.......

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Umerudi gheto mida ya saa mbili usiku unaingia ndani ghafla unamuona nyoka kanyanyua shingo juu anachezesha mkia na ki-ulimi kinatokatoka nje....
kwa ujasili unaamua kuchukua fimbo ili umuue... lkn ulivyo jasili zaidi unaamua kufunga na mlango halafu funguo unarusha kitandani unajaribu kumdhuru lkn ghafla umeme unakatika....!!!πŸ™πŸ™πŸ™

hapo ndo utajua no body can stop leggae
 
Kanyanyua shingo katoa ulimi nje duh! huyu nyoka atakuwa anataka kunyonya dushe tu sio bure.[emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
utakuwa mwendawazimu tu.... kwa nini ufungi mlango?
 
Hahaha! Sawa bwana! Lakini mi najua huyo nyoka hawezi kusubiri ufanye yote hapo ama zako au ama zake
mkuu hapo utakuwa unarukaruka kama mwendawazimu maana huoni hujui alipo... hapo ndo utajua maharagwe pia ni mboga!
 
Nitaomba Maombi yote Mungu Amshushe Nyegele Afanye yake
 
Hapo ndo itabidi ujue kuw kama BA JESCA HAJARIBIW BASI hata nyoka hajaribiw![emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji2]
 
Hapo ndo itabidi ujue kuw kama BA JESCA HAJARIBIW BASI hata nyoka hajaribiw![emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji2]
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…