Haaaya sasa, jionee jinsi ya kuyajibu maswali ya mitego ya wanawake

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Je, umewahi kukumbana na Girlfriend mwenye
maswali ya dizaini hii??
Hawa neno kujiamini huwa ni msamiati. Usiombe
kukumbana nae, lakini siku ukimpata ngoja nikupe hint
ya jinsi ya kumjibu:
''Mbona simu yako ina Security Code- Ili ikiibiwa mwizi asiweze kutumia,ni kwa ajili ya usalama.
-
''Mbona inbox yako kila siku iko empty - Kwanza
haikuhusu, lakini simu yangu ina Low Space, situnzi
message.
-
''Kwanini uko bize na Facebook kila dakika?? -Naandika status na kuchat na friends wangu.
-
''Kwanini simu yako ilikuwa bize wakati mi
nakupigia??-Ulichelewa kupiga kuna mtu alipiga kabla
yako nikawa naongea naye,siku nyingine umuwahi
kabla hajapiga.
-
''Mbona Phonebook yako ina majina mengi ya
Wanawake tu kuliko wanaume?'' - Ulitakaniwasiliane na Wanaume wengi wa nini,kwani mimi ni shoga?
-
Am sure,ukimjibu hivi kiherehere na kisebusebu
kitamuisha, maana kuna Girls wana kisirani, muda
wote wao ni shari shari tu,wana maswali kuliko
mtekaji wa Dokta Ulimboka,maneno mengi kama
wamemeza kanda ya Jahazi modern Taarab. Kama simu ni yangu, we inakuwasha nini?? Kama unataka
ijae wanaume wasevu kwenye simu yako.
Kwa hisani ya wanaume wenye wanawake kisirani
na maswali mengi Tanzania!
 
We jamaa ni specialist wa wanawake? Nyuzi nyingi humu MMU wewe tu
 
Mi kuna swali hadi leo huwa nashindwa kulijibu,naulizwa baby mimi nitakuwa demu wako wa ngapi kutembea nae ??
 
heading ya uzi wako ilipaswa iwe hivi"UKICHUKUA MWANAMKE STANDARD SEVEN MASWALI HAYA HAYAEPUKIKI"
 
Mi kuna swali hadi leo huwa nashindwa kulijibu,naulizwa baby mimi nitakuwa demu wako wa ngapi kutembea nae ??
Huyo anayeuliza ivyo ujue anataka kudanganywa
 
Back
Top Bottom