Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Wanafunzi walipanda kwenye ndege ,muda mfupi kabla ya kuruka wakatangaziwa kuwa ndege hii ni ya kwanza kutengenezwa na mainjinia wa Tanzania na hii ndio safari yake ya kwanza, wanafunzi wote wakashuka akabaki mmoja tu , alipoulizwa kwanini hakushuka " Akajibu kama imeundwa na wa Tanzania wala sina wasi wasi hata kuwaka haitawaka hii*[emoji23]
Sependagi ujinga eti[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sependagi ujinga eti[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]