haahaha juve1 ajax Kama namuona mr misifa cr7 anavyoaga mashindano

ET ooh! mimi juve wameninunua kwa ajili ya uefa! haya mshapgwa rudisheni goli mbili kama nyie wanaume!

juv 2 ajax 3 on agg.

juve anatakiwa apige goal2 hapa ndio apite.

Juve naipenda sana baada ya Barca, ila huyo mviziaji/Mrukaruka amenifanya niachanenayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…