Haahahaahha!!!

Marek18

Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
20
Reaction score
18
bangi inapokutana na pombe kwenye mkutano wa hadhara...

Jamaa alikua ana date na demu wa kisabato na mambo yalikua hivi.


Jmaa:baby unampenda msanii gani wa kike!?


Demu: me hata siwajui kabsa

Jamaa:mmmh...kwa mfano akina nani hao ambao hata huwajui!??

Demu: kuna kina zuchu,nandy,na anjella

Jmaa: kwani hao ni waimba kwaya wa kanisa lenu!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…