Kwa mfano ukiweka Tshs. 515,000 kila mwezi kwa miaka 10 (miezi 120) kwa ujumla utakuwa umeweka Tshs. 61,800,000 na wao wanakupa milioni 100. It is a good deal kwa wenye kuweza kumudu kuweka hiyo amaount.
Tatizo hii inflation bro ndio inatutisha at this 19% yani amani inakosekana kabisa unaweza ukaitoa hiyo 100ml ukakuta wakati huo inaweza kununua Bajaj :happy:. Lakini sounds great
kwa ushauri huo nakupongeza sana sasa iyo 515,000/= kwa vimishahara vya serikali!!! mmh shoti 2pu!
Mkuu rmashauri benki huwa wasanii sana. Katika majedwali yao wanaandika figures zinazovutia lakini ukigonda hodi kwenye ofisi zao uankuta hadithi tofauti. Katika haya majedwali hawajaandika kiasi gani cha hiyo pesa kitakatwa kama VAT na iwapo utalipwa kwa mkupuo. Kwa harakaharaka inaonekana ni scheme nzuri though, nitawatembelea wanipe details halafu nitawapa feedback.
Asante kwa useful post...