Naomba mnisaidie kuwarekebisha jamaa hawa. Wahenga walisema HABA NA HABA HUJAZA KIBABA. Kamwe, katu, katiti, abadan wahenga hawakusema "haba na haba hujaza KIBUBU". Hapana, tusiwalishe maneno wahenga wetu.Naomba waambieni hawa jamaa waseme hivi; "Wahenga walisema haba na haba hujaza KIBABA lakini sisi tunasema haba na haba hujaza KIBUBU". Watoto wetu shuleni wakiulizwa kujaza methali ya haba na haba.... kuna hatari wakajaza "hujaza kibubu" Baraza la Kiswahili la Taifa mko wapi?
..with indian accent 🙂haba na haba iko haba bili
..with indian accent 🙂
Redio zinaua sana lugha ya Kiswahili na bakita wamelala usingizi wa pono