Habar ya saizi

Habar ya saizi

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
Kama kichwa cha habar kinavyosema nazungumzia salam hii ndio salam bora na ya uungwana zaid kuliko zote tanzania salam zingine zimejaa ubaguz mkubwa

Nashukuru mungu salam hii inakua kwa kas watoto wadogp wanawasalimia wakubwa wao wakubwa wanawasalimia wadogo hakuna salam za kibaguz tena

JAman tuidumishe salam hii
Uingereza wana goodmorning
Ufaransa wana bonjour
Mwarabu ana salama lekooo

Kwa nin sisi tunabaguana kwenye salam salam ya shikamoo imekua kama adhabu ya kumdhalilisha mtu like amkia amkia ntakautaka makofi huna adabu eeeh
 
Back
Top Bottom