habari gani marafiki?

habari gani marafiki?

Okhondima

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
1,249
Reaction score
1,102
Mgeni humu ndani,umoja na upendo amani na mshikamano ndio nguzo muhimu...
Natumaini tutakuwa pamoja ktk kuchangia mawazo na kutoa hoja zitakazosaidia kuimarisha mahusiano yetu kama ndugu na kubwa zaidi ni kujenga nchi yetu.
AMANI....By OKHONDIMA!
 
Back
Top Bottom