Nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana wa JF na kusema ukweli JF imenifundisha mambo mengi sana ambayo nilikuwa siyafahamu. Baaada ya kuwa kama msomaji tu wa JF kwa kipindi kirefu,sasa wana JF nimeona ni vyema kama nami nikawa member ili niweze kuchangia hapa jukwaani.
Nawashukuru sana wana JF wote.