Habari hii imfikie mzee Mangung Tafadhali sana

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Tafadhali sana yeyote mwenye access ya kumpata mzee Mangungu amfikishie hii habari.

Mangungu wewe ni shujaa wetu unaipenda Simba kuliko Mo Dewj. Tafadhali tusajilie wachezaji bora achana na porojo za Mo, tena mfukuze ikibidi tutaaibika.
Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
Mangungu yupo bize kutafuta ubunge aokote laki tatu kila siku huku wapinzani wake wamepatwa na majanga kuanzia kifo na kuvunjika miguu.
Hiyo laki tatu itamsajili nani?
 
Reactions: K11
Ngungus Boy kasema wote wanaompinga si Wanachama wa 5imba na atawachukulia hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…