ryan riz
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 423
- 683
Mkubwa wa taarifa za kinakuhusu miradi ya makubaliano na kukosekana na nyenzo za kufuatilia na kupima maendeleo ya ahadi zinazotolewa katika mikutano hii.
Wachambuzi wengi wanaonya kwamba usiri huu unaondoa shauku ya vitu mahsusi vya kufuatilia katika mkutano huo kiasi kwamba mijadala mingi huishia katika kuhisi tu kitakachojili huku makisio mengi yakijirudia kutoka mkutano mmoja hadi mwingine wa serikali yake.
Chanzo cha picha, Getty Images
Nyumbani barani Afrika, wengi wanakosoa msululu wa mikutano ya aina hii, ambapo viongozi wa bara zima la Afrika wanaitwa nje ya nchi kukutana na kiongozi mmoja wa nchi wenyeji.
Mbali na FOCAC kuna takribani mikutano mingine 10 ya nchi kubwa kama Marekani na zingine ndogo kama Italy zinazowakusanya viongozi wa Afrika nyumbani kwao katika mikutano iliyopewa jina la Africa+1
“Mtu anaweza kusema kwamba Afrika inaweza kukosa fursa za kiuchumi na maendeleo ikiwa itakwepa mikutano hii. Lakini badala ya kushiriki kwenye mikutano ya 1+ Afrika au kuiepuka kabisa, nchi za Afrika zinapaswa kutumia majukwaa yaliyopo kama Umoja wa Afrika au mashirika ya kieneo kama Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) au Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuandaa nchi zinazotaka kufanya mikutano na mataifa ya Afrika.
Jumuiya ya Mataifa ya Kusini-Mashariki mwa Asia (ASEAN) mara kwa mara huandaa mikutano ya ASEAN + 3 na ASEAN + 6 ambayo inaweza kutoa maarifa muhimu” ameandika Abubakar Abubakar Usman, mhadhiri Universiti Malaya.
Wakati akiwa ndio kaingia tu madarakani, Ruto aliwaambia wahudhuriaji katika warsha iliyoandaliwa na Mo Ibrahim Foundation kwamba yeye na baadhi ya viongozi wa Afrika wameapa kutokuhudhuria mikutano kama hii ya FOCAC
"Sisi (viongozi fulani wa Afrika) tumeamua kwamba si busara kwenda kukaa mbele ya mheshimiwa mmoja kutoka sehemu nyingine... na wakati mwingine tunatendewa vibaya. Tunapakiwa kwenye mabasi kama watoto wa shule."
Hata hivyo Ruto tayari amewasili Beijing akiambatana na mke wake, Waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo Raila Odinga na viongozi wengine waandamizi