Natumai wote mko powa, mimi ni mgeni hapa, nimekuwa nikifatilia post mbali mbali kwa muda mrefu sana na kujifunza pia kutoka kwa wadau juu ya mambo tofauti tofauti. Jana nikajiunga rasmi. Niliintroduce topic, watu wamechangia na nimepata mwanga juu ya jambo lililokuwa likiniumiza kichwa. Asanteni Kwa kunikaribisha.