G Greatman Member Joined Jan 12, 2012 Posts 5 Reaction score 1 Jan 12, 2012 #1 Naombeni maana ya neno CABLE,MODEM ya internet,,,kwa kiswahili
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Jan 12, 2012 #2 Subiri wataalamu watakuja muda si mrefu.
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,319 Jan 13, 2012 #3 Greatman said: Naombeni maana ya neno CABLE,MODEM ya internet,,,kwa kiswahili Click to expand... nadhani hutaki maana, ila tafsiri za hayo maneno katika Kiswahili. 'cable' ni waya, modem mhm... nitarudi baadae.
Greatman said: Naombeni maana ya neno CABLE,MODEM ya internet,,,kwa kiswahili Click to expand... nadhani hutaki maana, ila tafsiri za hayo maneno katika Kiswahili. 'cable' ni waya, modem mhm... nitarudi baadae.