Habari JF Members

Habari JF Members

Joined
Jun 12, 2017
Posts
11
Reaction score
22
Natumai mko salama, nimekua mdau Wa Jf tangu mwaka 2009 nikimiliki account lakini kuna tatizo lilitokea sikuweza ku-sign in tena hivyo nimeamua kurudi tena humu.
Nategemea kujifunza mazuri toka kwenu, tuko pamoja.
Natanguliza shukrani.
Computer Expert
 
Haya, karibu japo hujasema jina lako la awali humu JF labda tunakufahanu
 
Back
Top Bottom