Habari kama hizi huwa zinanikosesha raha amani na usingizi mawazo kibao kichwani

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
7,808
Reaction score
16,972
Kama kijana niriebahatika kusoma kwa mkopo wa bodi,miaka nane iliyopita,nikisoma habari kama hii,machozi huwa yananilengalenga,huwa najiuliza,kama ningekosa mkopo miaka hiyo,ningekuwaje leo,ukitegemea wengi tunatoka familia za kawaida sana,najiuliza vijana hao 200000,waliokosa mkopo ili wapate elimu ya juu,maisha yao yatakuwaje,kwa sababu tuliopata mkopo,tukasoma,tukaitimu na kupata shahada mbalimbali,tumekuja mtaani,tunakumbana na balaa lingine,la ukosefu wa ajira,fulsa,vipato duni,je hari ikoje kwa hawa wadogo zetu ambao hata mkopo wamekosa hari itakuwaje???

Nawaza binti yangu wa miaka mitatu,nitamsomeshaje elimu ya juu,kama mambo yenyewe ndiyo haya,hapa inabidi kupambana kiume,

Asalaaam Aleikum wadau
 
we acha tu. ina maana hap wote walo appeal bado 20000 watakosa kwahiyo watapata 9000 tuu looo
 
hii nchi hii jamani!! jambo la ajabu watu wenye uwezo wapata mkopo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…