Ganja kama gañja..!tatizo polisi wa Kenya wanawadekeza mnoo raia
Wanafanya mambo ya kizungu wakidhani wao ni wazungu?
Amani itakuwepo Kenya Ruto na genge lake wakiachia ngaziKaribu utupie jicho yaliyomo kwenye kurasa za mbele ya magazeti leo Julai 20, 2023. Inasadikiwa wahariri wakuu wa magazeti walifikia makubaliano ya kutumia kichwa kimoja cha habari, kutoa rai kwa raia kudumisha umoja na amani.
Ikumbukwe maandamano yanatarajiwa kuendelea Leo na kesho.View attachment 2693852View attachment 2693853View attachment 2693855View attachment 2693854
Wanapenda sana uzungu wanatamani wabadishe hata rangi za ngozi zao,tatizo polisi wa Kenya wanawadekeza mnoo raia
Wanafanya mambo ya kizungu wakidhani wao ni wazungu?