Habari kwa umma taarifa zisizo zaukweli!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
TAARIFA KWA UMMA
Kumekuwa na taarifa ambazo si nzuri juu yangu na zimekuwa zikivuma kwenye mitandao ya kijamii eti mimi situmii pilau, kuku, mbuzi na mambo mengine yanayohusu kula. Nasema mkiiziona hizo taarifa mziipuuze sio taarifa sahihi kwani zina lengo la kuzuia watu wenye nia njema ya kunialika kwenye sikukuu ili tujumuike pamoja. Tafadhali ieleweke sina Alergy na chakula chochote kile.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
ha ha... yaonyesha hujaalikwa wewe
 
hahah Njoo na mbuzi, mchel, vinywaji, nk il tupike tule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…