ALEXJP
New Member
- Sep 8, 2018
- 2
- 1
uzi huu nautoa makusudi ili niweze kupata utaalamu au uzoefu walionao wataalamu wa bitcoin , nimejaribu kumine bitcoin toka october na nikafikisha kiwango ambacho nakihitaji ila imeshindikana kutoa hizo bitcoin kwasababu wanahitaji 0.0011478 BTC kutoka kwenye wallet yangu na mimi sina hizo bitcoin kwenye wallet yangu, nimejaribu kuomba bitcoin kadhaa kutoka kwa watalamu wa BTC miner imeshindikana ,nikapata wazo kwamba kwa yeyote atakaekua tayari kunitumia bitcoin hizo basi atapata mara mbili ya coin alizonitumoia baada ya kupokea coin zangu,ila kabla ya yote nifanyeje ili kupata coin zangu naombeni watalamu mnisaidie.