Habari, mambo vipi? Mimi nimekuja kuripoti

Habari, mambo vipi? Mimi nimekuja kuripoti

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Hii username ni mpya hapa Jukwaani. Kwa Mara ya kwanza nafanikiwa ku create thread ya kwanza. Nawasalimu wakuu. Asante Kwa kunikaribisha
 
Hahaha ngoja nikimbilie kwanza kule kwa MAKAPUKU
NITAFUTE KICK [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Karibu sana tujadili mambo ya maendeleo kwa hoja. Usivutiwe sana na mambo ya siasa mara jenga ukuta mara vunja ukuta haya ni ya kupita.
 
Unaonekana mzoefu lakini
Sure. Ukweli ni kwamba hii username ni mpya ila before nilikuwa nayo ila imegoma ku log in eti password nazoweka ni wrong. Nimeamua Kuja na hii mpya..
 
Sure. Ukweli ni kwamba hii username ni mpya ila before nilikuwa nayo ila imegoma ku log in eti password nazoweka ni wrong. Nimeamua Kuja na hii mpya..
Aaah kweli kabisaaa. Usijali namimi hii acc yangu ni ya3 asee nishakutana na huo utata ni ikawa utata zaidi katika kuzirudisha sasa nisijue ni elimu ndogo nilio nayo ama mtandao huwa una misbehave

Sent from my GT-N7105 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom