nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
balaaaaa,Mungu wangu namba mbili ni bora acheze Nyoni,akiwekwa kessy utakuwa uchochorooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumuombee kocha awe na muono sahihi kuelekea game hiyo.Atakayekuwa kwenye form, aanze tu.balaaaaa,Mungu wangu namba mbili ni bora acheze Nyoni,akiwekwa kessy utakuwa uchochorooooo
Uganda alicheza nani?balaaaaa,Mungu wangu namba mbili ni bora acheze Nyoni,akiwekwa kessy utakuwa uchochorooooo
magoli 3 ya cape verde yalipita kwa nanai?uganda siku ile dogo kazi yake kubishana na refa tu alituokoa banda na mwantikaUganda alicheza nani?
Uganda alicheza nani?
Full back left-Gadiel Mbaga
Full back right-Nyoni
Centre half-Agrey Morris
Full back-Yondani
A bad day at work..hii inatokea duniani kote...Messi alikosa penalty world cup..kwani kila siku anakosa???magoli 3 ya cape verde yalipita kwa nanai?uganda siku ile dogo kazi yake kubishana na refa tu alituokoa banda na mwantika
NITASHANGAA AKIPANGWAA bad day at work..hii inatokea duniani kote...Messi alikosa penalty world cup..kwani kila siku anakosa???
Huyu dogo ni uchochoro mkubwa sana ikibidi afutwe kabisa kikosinimagoli 3 ya cape verde yalipita kwa nanai?uganda siku ile dogo kazi yake kubishana na refa tu alituokoa banda na mwantika
magoli 3 ya cape verde yalipita kwa nanai?uganda siku ile dogo kazi yake kubishana na refa tu alituokoa banda na mwantika
Mwantika naye alikuwa uchochoro siku ya Cape Verde, japo alicheza vizuri siku ya UgandaNa Cape Verde Mwantika alikuwa wapi?