Habari Mbaya Kwa Simba

Habari Mbaya Kwa Simba

aljun raj

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
203
Reaction score
46
Leo kiungo wa simba Jonas Mkude ameumia
Na anaweza kukosa mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba[emoji22][emoji22][emoji22]
 
Leo kiungo wa simba Jonas Mkude ameumia
Na anaweza kukosa mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba[emoji22][emoji22][emoji22]
Simba na Yanga wanacheza April 29
 
Simba bila Mkude haiwezi cheza? Mbona Yanga imewakosa akina Ngoma, Kamusoko, Tambwe, na mara kadhaa akina Papy Tshishimbi, Ajib na bado inakomaa...
 
Back
Top Bottom