Mshauri akasome kuondoa ujinga ili aweze kuja kumudu maisha yake baada ya ku graduate na si kutegemea ajira ya mshahara toka serikali au kwingine kokote..........kilimo kwanza!!Jana jioni nilikuwa kijijini kwetu. Nikiwa namshauri mdogo wangu alihitimu kidato cha sita nini akasome Chuo kikuu mara ujumbe unaingia kwenye simu yangu
"HAKUNA AJIRA MPYA WALA KUPANDA VYEO MWAKA HUU, AJIRA ZILIZOPO NI UALIMU NA UDAKTARI TU".
Ujumbe ulitoka kwa rafiki yangu ambaye yupo kwenye reliable source of news.
Sababu ni zilezile, ukata ulioikumba serikali. Hali ni mbaya kuliko tunavyofikiri. Kwa watakaoshindwa kupanda vyeo mwaka huu inaweza isiwe tatizo ila waombaji wapya wa kazi.... Sijui!
jana jioni nilikuwa kijijini kwetu. Nikiwa namshauri mdogo wangu alihitimu kidato cha sita nini akasome chuo kikuu mara ujumbe unaingia kwenye simu yangu
"hakuna ajira mpya wala kupanda vyeo mwaka huu, ajira zilizopo ni ualimu na udaktari tu".
Ujumbe ulitoka kwa rafiki yangu ambaye yupo kwenye reliable source of news.
Sababu ni zilezile, ukata ulioikumba serikali. Hali ni mbaya kuliko tunavyofikiri. Kwa watakaoshindwa kupanda vyeo mwaka huu inaweza isiwe tatizo ila waombaji wapya wa kazi.... Sijui!
Unazungumzia ajira ya serikali au hata AKINA ZANTEL NA MANYAMONGO.............????Jana jioni nilikuwa kijijini kwetu. Nikiwa namshauri mdogo wangu alihitimu kidato cha sita nini akasome Chuo kikuu mara ujumbe unaingia kwenye simu yangu
"HAKUNA AJIRA MPYA WALA KUPANDA VYEO MWAKA HUU, AJIRA ZILIZOPO NI UALIMU NA UDAKTARI TU".
Ujumbe ulitoka kwa rafiki yangu ambaye yupo kwenye reliable source of news.
Sababu ni zilezile, ukata ulioikumba serikali. Hali ni mbaya kuliko tunavyofikiri. Kwa watakaoshindwa kupanda vyeo mwaka huu inaweza isiwe tatizo ila waombaji wapya wa kazi.... Sijui!
Hata za hazina tulizohaidiwa tangu octoba2010 zimeyeyuka? Sasa mkuu unaleta msiba kwenye sherehe!
Hata za hazina tulizohaidiwa tangu octoba2010 zimeyeyuka? Sasa mkuu unaleta msiba kwenye sherehe!
Unazungumzia ajira ya serikali au hata AKINA ZANTEL NA MANYAMONGO.............????
Mkapa aliacha pesa wapi fisadi mkubwa yule.Mabomu yote ya mikataba feki aliifanya yeye kipindi cha mwisho anaondoka,richmond,rada,meremeta na mengine mengi.Leo unampaka asali eti ameacha hela?Au binamu ako?zitto kabwe akisema serikali imefulia .....wanasema ametukana serikali haya sasa habari ndiyo hiyo ..serikali ya kikwete ni kiwete ..matumizi makubwa ya srikali yake ..kakuta mkapa kaacha pesa nyingi yeye badala ya kukusanya anatumia tu ..uchaguzi ccm imetumia garama ngapi ..mimi nasema ...hii nchi angekabidjiwa kagame tu kwa contract ..mabadiliko tungeyaona siku huyo ****** hamna kitu hapo tuliingia choo cha kike