figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Acheni ujinga. Waliofanya huo ujinga watapatikana na kushugulikiwa.Lissu akiongelea maridhiano, kuna watu wanambeza, wacha tufike wanakotaka tufike.
Obviously.Huyo mkurugenzi ni mbogamboga?
Ni ajali ya moto tu kawaidaAcheni ujinga. Waliofanya huo ujinga watapatikana na kushugulikiwa
Wala hatufarahi kabisa kama ambavyo hatufurahi hawa wakurugenzi wakishiriki kuingiza kura feki kwenye masanduku ya kura.Hizi ndio mambo CDM wanafurahia, wakisikia vurugu roho wao kwatu, wakisikia kuna watanzania wamepata matatizo Mtwara huko kwa kuuliwa wao roho kwatu, wakisikia MKIRU wenyekiti wa vijiji wameuliwa wao roho kwatu, huu upambuvu ni kuendelea kuushughulikia bila huruma, Tz inahitaji vyama mbadala ila sio wapinga maendeleo.
Soko gani? Lipo Kijiji gani? Elezea kwa urefu ili tuifuatilie. Kwanini Wanafanya hivyo?Nimeshuhudia Kijiji kimoja mkoani Rukwa watu wamegawana soko dogo pale Kijijini. Kulia wànauza na kununua CCM peke yao, Kushoto CHADEMA na ACT. Naungana na wewe kuwaomba Polisi kwa kutumia falsafa yao ya polisi jamii warejeshe umoja na utangamano miongoni mwa Watanzania maana wengine wanajali madaraka tu.
CCM mkisikia wapemba wanapigwa risasi ndio furaha yenu.Hizi ndio mambo CDM wanafurahia, wakisikia vurugu roho wao kwatu, wakisikia kuna watanzania wamepata matatizo Mtwara huko kwa kuuliwa wao roho kwatu, wakisikia MKIRU wenyekiti wa vijiji wameuliwa wao roho kwatu, huu upambuvu ni kuendelea kuushughulikia bila huruma, Tz inahitaji vyama mbadala ila sio wapinga maendeleo.
Usiulize hilo swali mkuu, kuna mkurugenzi ambaye siyo vegan nchi hii?! Labda ungeulizia wa Nkasi kama ni ni mbogamboga kiasi gani!?Huyo mkurugenzi ni mbogamboga?
Pole sana mwathirika wa tukio hili, naomba ulizi utolewe kwa wakurugenzi wote nchini,kama sababu ni uchaguzi basi wote inapaswa kuwaongezea ulinzi!Hizi ndio mambo Chadema wanafurahia, wakisikia vurugu roho wao kwatu, wakisikia kuna watanzania wamepata matatizo Mtwara huko kwa kuuliwa wao roho kwatu, wakisikia MKIRU wenyekiti wa vijiji wameuliwa wao roho kwatu, huu upambuvu ni kuendelea kuushughulikia bila huruma, Tz inahitaji vyama mbadala ila sio wapinga maendeleo.
Matukio ya aina hii huwa hayaishi kwa kukamata watuhumiwa na kuwafunga jela. Unakamata huyu leo,kesho linaibuka tukio lingine tena baya zaidi na chanzo huwa ni kukoskana kwa haki.Acheni ujinga. Waliofanya huo ujinga watapatikana na kushugulikiwa
Ndo demokrasia usipanic, nyie mlipofurahia dhuluma hakuna aliyewasumbua, kwa hiyo hata wao wakifurahia kuchomwa moto kwa Msimamizi wa uchaguzi feki ni haki yao.Hizi ndio mambo Chadema wanafurahia, wakisikia vurugu roho wao kwatu, wakisikia kuna watanzania wamepata matatizo Mtwara huko kwa kuuliwa wao roho kwatu, wakisikia MKIRU wenyekiti wa vijiji wameuliwa wao roho kwatu, huu upambuvu ni kuendelea kuushughulikia bila huruma, Tz inahitaji vyama mbadala ila sio wapinga maendeleo.