antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Ha ha ha..leo hii madiwani ; wabunge ; wenyeviti wa mtaaa ; DED etc wanaishi kama digi digi .....wengi kwenye maeneo hatari hawalalali kwenye nyumba zao
oooorait oraitRPC amesema ni mapema kulihusisha tukio hilo na mambo mengine.
Imefikia hatua tukisikia habari hizi tunashangilia. Dhuluma mbaya sana.
Mchuma janga hula na wakwao.Hizi ndio mambo CHADEMA wanafurahia, wakisikia vurugu roho wao kwatu, wakisikia kuna watanzania wamepata matatizo Mtwara huko kwa kuuliwa wao roho kwatu, wakisikia MKIRU wenyekiti wa vijiji wameuliwa wao roho kwatu, huu upambuvu ni kuendelea kuushughulikia bila huruma, Tz inahitaji vyama mbadala ila sio wapinga maendeleo.
Ajali nyengine hii haikuchagua chamaAjali aichagui wewe ni chama gani.
Mbowe alivunjika mguu kwasababu ya kuzidisha Konyagi.
Zito aliteuka mkono kwa ajali ya gari.
Umetoa issues za upande mmoja tu. Kumbuka Chadema nao wana issues zao. Act wazalendo pia. Fikiria mauaji ya Zanzibar.Hizi ndio mambo CHADEMA wanafurahia, wakisikia vurugu roho wao kwatu, wakisikia kuna watanzania wamepata matatizo Mtwara huko kwa kuuliwa wao roho kwatu, wakisikia MKIRU wenyekiti wa vijiji wameuliwa wao roho kwatu, huu upambuvu ni kuendelea kuushughulikia bila huruma, Tz inahitaji vyama mbadala ila sio wapinga maendeleo.
Unafikiri wewe wakipatikana hao 20 itakusaidia Nini Sasa, au Mimi itanisaidia Nini zaidi ya hao ndugu za hao watu kupoteza.wapatikane hata 20 tuheshimiane .
Wewe kuiba kura na kupora yaki ya watu wengine ilikunufaisha!Acha na wao waumie tiUnafikiri wewe wakipatikana hao 20 itakusaidia Nini Sasa, au Mimi itanisaidia Nini zaidi ya hao ndugu za hao watu kupoteza.
Una uhakika na ulichokiandika au nawewe unatumia hisia mfu Kama D.Trump.Wewe kuiba kura na kupora yaki ya watu wengine ilikunufaisha!Acha na wao waumie ti