Habari mbaya sana kwa waliotegemea Yanga kupoteza mchezo dhidi ya Singida Big stars.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kuna kikundi Cha wahuni (waliokufa kiume) walizani kuwa yanga itadondosha pointi kizembe mwisho wa siku matumaini yao yamegeuka imekua ndivyo sivyo.

Prof wa mpira Nabbi kaingiza full mkoko kikosi Cha ushindi na ubingwa makolo wasahau.

Yanga is unstoppable.
 
Simba ina mashabiki mbumbumbu sana. Yaani wanateseka sana Yanga ikishinda.
 
Back
Top Bottom