Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Lakini afadhali wamekuwa wa wazi. Tulitegemea wangeficha au kudanganya. Hata kama wamedownplay lakini wamekuwa wa wazi. Au mkuu Mshana umedukua taarifa ya siri?

Uwazi kama huu ndiyo unafanya tusirudie makosa na kusolve mambo.
 
Walishachukua tahadhari zote na hayo yalitokea, au unasemaje hapo ww na ⌨️ chumbani!
 
Lakini afadhali wamekuwa wa wazi. Tulitegemea wangeficha au kudanganya. Hata kama wamedownplay lakini wamekuwa wa wazi. Au mkuu Mshana umedukua taarifa ya siri?

Uwazi kama huu ndiyo unafanya tusirudie makosa na kusolve mambo.
Bado kuna majeruhi...tuwaombee nafuu
 
Walishachukua tahadhari zote na hayo yalitokea, au unasemaje hapo ww na ⌨️ chumbani!
Kwenda na watoto wadogo kwenye msongamano ndo kuchukua tahadhari? Najua kwa baadhi ya watu hicho kilichotokea watakitumia kwa manufaa binafsi ya kisiasa. Inasikitisha sana.
 
Kwenda na watoto wadogo kwenye msongamano ndo kuchukua tahadhari? Najua kwa baadhi ya watu hicho kilichotokea watakitumia kwa manufaa binafsi ya kisiasa. Inasikitisha sana.
Kumbuka hakuna mtoto mdogo mpaka sasa ameripotiwa kufa! Hawa watoto ndio kina Magufuli wa kesho, inapowezekana si vibaya kuwaruhusu waende kumuaga!
 
Tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha hayati rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.

Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.

Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.

Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu,
Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia.
 
Kwa mkusanyiko ule ndani ya uwanja, tension za msiba & joto la dar ni dhahiri haya yasingekwepeka.

Let them rest easy.
#ukiacha covid kuna kifua kikuu dear Tanzanian.
 
Kifo kilivyotangazwa death certificate iliambatanishwa ikiwa inasomeka kile kilichotangazwa kwamba ndio kilimuondoa?
Au unajitoa tu ufahamu...?
Umsamehe amechanganyikiwa. Anadhani Samia alitoa taarifa kwa kusoma cheti cha kifo.

Tuomboleze kwa amani bila majangà zaidi.
 
Tulionya mapema tukaonekana haters
Hasa Mimi All - Rounder Ndugu nilitukanwa na Kudhihakiwa sana pale nilipokuja na Uzi wangu hapa JF wa Kutahadharisha, Kuonya na Kushauri kuhusu hili.

Sasa kwakuwa yameshatokea labda Watatuheshimu na Kutuelewa kuanzia sasa badala ya kutuona kuwa tuna Chuki au tunatumika au ni Wapinzani wa CHADEMA.
 
Wewe ni mwongo na unatoa taarifa za uzushi za kupikwa. Itakuwaje kwanza watu wengi waliokufa wawe ni jamii amnayo unaijua?

Pili iatakuwaje wewe wakati huo huo uwe uwanja wa Uhuru kwenye maombolezi na wakati huohuo uwe hospitali ya Themeke, inamaana wewe umekuwa jini?

Tatu utatuhakikishiaje sisi kuwa wagonjwa na miili yote iliyo pelekwa hospitali ya Themeke imesababishwa na kukanyagana kwa watu kwenye maombolezi ya hatati Raisi Magufuli Uhuru?

Nne Autopsy au Post-mortem examination ya hiyo mili inaonyesha walikufa na kitu gani? Unauhakika na hayo?

Mbona hatujapata taarifa hizo officially kutoka kwa madaktari husika na pia kutangazwa na serikali?

Naomba tuonyeshe uthibitisho wa death certificates ya hivyo vifo ili kuthibitisha kuwa vilitotea siku hiyo ya tarehe 21/03/2021.

Kijana nakusihi acha porojo zako za Uswahilini na kuwa na fantasy za vifo. Watu kama nyie mkikamatwa kwa kutoa taarifa za kugushi, mnaanza kulalamika. Mnalalamika ninintena? Mmejawa na hamasa za kutaka kuwavuruga watu ili wapate hofu za bure. Acha tabia hiyo! Utaishia jela! Shauri lako!
 
Salamu za pole kwa waliokumbwa na majanga haya.Lakini najiuliza, kulikuwa na ulazima gani wa mama mjamzito na watoto wawili kwenda nao kuaga.So sad
 
Wapate pumziko la milele wote waliokufa na majeruhi wapate nafuu mapema.
 
Hahahaaaaaa. Oy, pamenichekesha sana uliposema"anagombea maiti aliyokuwa anaficha maradhi yake".
 
Viongozi wetu wamekata tamaa ya kuishi. Nimemsikia Mh Ndugai(Mb) akisema akifa azikwe Kongwa..ni mwendo wa vifo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…