Mgeni gan unakuja wenyeji wamelalaMimi ni mgeni humu kutoka Iringa, nimelipenda jukwaa hili kuja kubadilishana mawazo na kujifunza mengi kutoka kwenu yote.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]Mgeni gan unakuja wenyeji wamelala
Asante sana[emoji120]Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Kinaendelea vizuriKilimo cha mbao kinaendeleaje huko?