Habari mpasuko: Samaki wabovu aina ya vibua wakamatwa maeneo ya tabata bima dar.

Katitima

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
630
Reaction score
121
Ni kontena 2 za tani 22.5 na 27 znazomilikiwa na wafanya biashra SADICK NASSOR na AMASHA FISH TRADERS.zlizopewa kibari na TFDA mnamo JULAI 2013 kuwa ni salama kwa matumizi ya binadamu zkitokea nchi za CHINA na YEMEN leo zmekamatwa TABATA BIMA na kuonekana kuwa samaki hao wameharbika kabsa na wanatakiwa kutektezwa kwan hawfai kwa matumiz ya bindamu.habar znasma kuwa walkuwa wanapelekwa feri ambapo wengne walshauzwa.hii inaingia akiln kwel wakuu?na kosa ni la nan hapa?TFDA au weny mal?

Chanzo:RADIO ONE/ITV
 
makubwa na balaaah kubwa hilo
 
makubwa na balaaah kubwa hilo

Hakika NGUVUMALI,me nashindwa kuielewa kabsa hii nchi,sijui ni kwa nini inafanya masikhara kwenye mambo ya msingi kama afya za watu.wanafuga uozo kiasi cha kuogofya.

kweli hii serikali ni corrupt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…