TCU wametoa taarifa mpya kuhusu wale ambao wamechaguliwa second round. Wamekiri ni kweli wengi waliokosa ni wale wa masomo ya PCB na CBG na wamewaambia nini cha kufanya sasa. Pia wana habari kwa waliochaguliwa first round. Habari zaidi hapa Habari Mpya Kutoka Tcu Kwa Wale Ambao Hawajachaguliwa First Round