Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo mazuri sana haya kule mombasa,hongera kwa Mheshimiwa Gavana Joho na watu wa kaunti ya Manbasa,hiyo hospitali imekaa sawasawa.Kweli ugatuzi una mafanikio yake.
lazima asuke roads ziwe in condition. ......Street bash mingi sana Dec ndio hio inakuja
Jimbo!Nadhania ni wilaya lkn sina uhakika 🙂
Ni majimbo.Hivi county ndio nini kwa mazingira ya Tanzania? Ni jimbo? Mkoa au wilaya?