Mwanaume wa Shoka
Member
- Feb 15, 2014
- 99
- 17
Naona hakuna anaeutaka ukewenzaNgoja waje
Watakuja tu mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Naona hakuna anaeutaka ukewenza
Mbona hakuna anaekuja mpk saaiz
MmmhWatakuja tu mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Unataka moyo huo shoo.Mmmh
Mpk Leo??
Ukewenza mgumu kwakwel
HahahahahaBinti wa miaka 25 ukaolewe mke wa pili umemkosea nini Mungu?
Kutafuta nini umri huo waanchiwa walio achika kwanza, halafu eti asiye na mtoto wakati yeye ana mke wakwanza na siajabu na watoto ubnafsiBinti wa miaka 25 ukaolewe mke wa pili umemkosea nini Mungu?