habari ndio hii

karibu ila usijisikie kama uko nyumba!!jisikie kama mgeni tu!!!
 
Habari yenyewe iko wapi sasa? Nyie ndiyo munaotuleteaga Breaking news za mmasai kavaa shuka,kifupi unaelekea kuwa ni mmoja wa wakuda watarajiwa wa jukwwa hili. Ok karibu sana dogo.
 
habari wana jf.mi ndio nimetua mjengoni naomba mnipokee.

karibu sana mheshimiwa!sie hatutaki matusi na kutoka povu tu humu ndani hadi Mandela mwenyewe huwa anachangia mada.
 
aaargh, yaani kumbe hii ndo habari. Basi kumbe sio habari.
usinipotoshe siku nyingine ili nifungue post nisiyo na mpango nayo, ila karibu JF, na usisahau kusoma vigezo na masharti kabla ya kupost tena tafadhali.
 
habari wana jf.mi ndio nimetua mjengoni naomba mnipokee.

Mkuu karibu sana humu jamvini ila ombi langu kwako uwe kichwa cha nazi na siyo boga ili tuwe pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…