Habari ndio hiyo

Habari ndio hiyo

Jonogomero

Member
Joined
Feb 8, 2012
Posts
99
Reaction score
27
Wazazi wanaoishi Unguja wana mtoto alioko London walimtafutia mchumba mwana wao na wakaamua kumuagiza ndugu yake amuolee mchumba huyo kisheria hapo hapo unguja, bwana harusi wa london akaja unguja kukutana na mkewe, alipofika airport akamuona msichana mrembo sana akamshawishi na akalala nae kimapenzi, alipofika nyumbani ili amuone mke wake akamkuta yule msichana alielala nae kimapenzi ndio mke wenyewe,
Jee! kijana wa london alizini au alifanya mapenzi na mkewe? tafadhali nijibu muhim sanna na ungekuwa ww ungefanyaje..!
 
Wamekutana wote vicheche hakuna lawama maisha yaendelee..
 
Allahu ya allam! Isipokuwa hiyo ndowa ni kufu kabisa! Kama mapenzi basi wote love at first sight, Kama ucheche basi wote wakali ,waendelee tu!
 
Back
Top Bottom