Wazazi wanaoishi Unguja wana mtoto alioko London walimtafutia mchumba mwana wao na wakaamua kumuagiza ndugu yake amuolee mchumba huyo kisheria hapo hapo unguja, bwana harusi wa london akaja unguja kukutana na mkewe, alipofika airport akamuona msichana mrembo sana akamshawishi na akalala nae kimapenzi, alipofika nyumbani ili amuone mke wake akamkuta yule msichana alielala nae kimapenzi ndio mke wenyewe,
Jee! kijana wa london alizini au alifanya mapenzi na mkewe? tafadhali nijibu muhim sanna na ungekuwa ww ungefanyaje..!