Habari ndiyo hiyo!

Habari ndiyo hiyo!

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,718
Reaction score
7,784
Ukiona tajiri anatoa siri za mafanikio, basi jua ni FAKE.

Na ukiona mtu anakupa siri za kutoboa, basi jua na yeye hajatoboa, na ni mtafutaji kama wewe.

Mwenye akili na aelewe!

Usiku mwema.!!
 
Back
Top Bottom