Habari ndo hiyo!!!!!!

Congrats and Best wishes,

Naomba nipendekeze jina kwa PM utakapojua jinsi ya mtarajiwa wetu, Ok:A S 8:

Haya baba, you cna even start now just give two names ....boy vs girl...siku nikijua i'll choose one!:A S 8:
 
December tuna-expect wengi,hongera mamii na ukae salama mpaka due date yako!!!..

Uh! hata wewe mami una expect!! mmmmnh nice naona watoto wa decemba watakuwa wengi tu InshaAllah! Mungu akujaalie afya pamoja na mtarajiwa.
 
Congrats shishi! lol!
nakutamania, mimi ni next year!
 
Uh! hata wewe mami una expect!! mmmmnh nice naona watoto wa decemba watakuwa wengi tu InshaAllah! Mungu akujaalie afya pamoja na mtarajiwa.

Mhhh, mlipanga huko nyuma?? (go back 9mon):A S 8::A S 8::becky::becky::smile-big:
 
Mhhh, mlipanga huko nyuma?? (go back 9mon):A S 8::A S 8::becky::becky::smile-big:

what a coincidence!!!! ahahahhaha hakukuwa na mipango yoyote!:confused2::confused2::confused2::confused2:
 
heeee bado hujafunga chapter tu?....Shishi ma dia hongera sana, wanasema mimba sio kazi, kazi kulea...kila la kheri watarajiwa wote wa JF.

bado,, si tutafunga mwakani jamani.......ka tatu...
 

Akiwa mwanaume aitwe Slaa! Lakini akiwa binti utafutwe utaratibu mwingine?
 
  • all the best sweetheart mungu akupe afya njema wewe na kiumbe tumboni ...
 
Nikiskia mtu ana-expect naskia furaha sana, Mungu awabariki sana.
By the way, Jr wangu sasa anakimbilia miezi mitatu.....na mama yake ni mzima wa afya, thank God!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…